Mtu mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja amechomwa moto na wananchi asubuhi hii na kufariki dunia papo hapo baada ya kujaribu kuiba vitu vikiwemo Laptop na vitu vyingine mali za abiria katika ajali iliyotokea leo asubuhi mjini Kahama baada la Bus la Wibonela Express kupata ajali na kuua watu wanne.
Shuhudia Jinsi Mwizi Alivyochomwa Moto Baada Ya Kuiba Kwenye Ajali Ya Basi
Reviewed by habari motto
on
5:22 PM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
5:22 PM
Rating:
