Anusurika Kuchomwa Moto Kwa Tuhuma Za Wizi

  
Kibaka mmoja jina halikufahamika achezea kichapo cha cha aina yake baada ya kumkwapulia simu Raia mmoja na hatimaye kujikuta akipigwa na raia wenye hasira kali Mtanange huo" ulisikika baada ya kijana huyo mkazi wa mburahati kama alivyosikika akisema, Akitoka maeneo ya posta huku akikimbizwa na raia wenye hasira huku wakiasikika mwizi mwizi mwizi piga ua choma  yaani ilokuwa ni kasheshe na hatimaye kukamatwa mtaa wa jamhuri opposite na wizara ya sayansi na teknolojia na  kuadabishwa vya kutosha! Kibaka huyu aliponea chupu chupu kutoiona XMASS na NEW YEAR YEAR 2015 baada watu walioshikwa na huruma na kumwachia huku akipewa huduma ya kwanza ya kujopoza na majo kichwani na kunawa baada ya maumivu makali. Na hatimaye kuondoka mdogo mdogo kama diamond na simu asiipate na kuambulia kipigo.  

PICHA NA HABARI KWA HISANI YA ALLY SHAABAN WA ALLYSHAMS BLOG 24
Anusurika Kuchomwa Moto Kwa Tuhuma Za Wizi Anusurika Kuchomwa Moto Kwa Tuhuma Za Wizi Reviewed by habari motto on 10:03 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.