Hivi Ndivyo Alivyopokelewa Mshindi Wa Big Brother Africa 2014

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgD20GmuVFEnyLdMwBSw8IVgroIuXccdKGoDsE2rOpdxUgd-KvfCbIRlGCeT1eNLxJk2e_8jSpLP3a0UdOFMSt28qEVTpAMDytm4_tgYuthJ5xiH-_SJUw04XL0j5q74sKJo5tZ9nAT8ZCw/s1600/IMG-20141211-WA0001.jpg
Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa 2014,Idris Sultan akishangilia wakati alilakiwa na Washabiki wake waliojitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere,Jijini Dar es salaam leo akitokea nchini Afrika Kusini yalikokuwa yakifanyika mashindano hayo.Kushoto kwake ni Laveda aliekuwa mshiriki mweza wa Idris.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifROhh1pW03dx0QLKVJZNsVEOwJWiuo0Go2G6b_zBMt8VJVOKTvZUQdaRsSYRzMHVkes2yD1kaQ8QoaRbW5oWBl_AM8o-TMfHpj5coAsf56Rji2KHLiyQBl7YnqAfAu6NPNf64XIG6l7W3/s1600/IMG-20141211-WA0000.jpgIdris akionekana ni mwenye furaha kubwa sana baada ya kuwasili nchini.https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiydr8Mefqm5MeKEcfeisw8DsgQkG-x-HLTnZK-USpC5FgFT8iWI_r8xMJxeAWZRDoQc_sQ-pCFj5KLeDe4ihnaEsSNRsG8I-XU8VLVeelzbKTjV6Mu88O71aZxmBRC1pwNE_7VC3JZdln3/s1600/IMG-20141211-WA0002.jpg
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Barbara Kambogi (kati) akijadiliana jambo na Mshindi wa Big Brother Africa 2014,Idris Sultan pamoja na aliekuwa mshiriki wa shindano hilo,Laveda katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere Jijini Dar es Salaam
.https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgqPJfbaxxa7m1G5w3b2eZJJJKATMNIOhV14KeRDCttc2HNDIkgxnK4MdDiRNuUfwbLEFy-tSNwuOupS1lCgIyPhHMV9_o8whFuaglUdJtpQ10xEkHprUX6ATl7sgmZMfzXFApJjfpjatwF/s1600/IMG-20141210-WA0027.jpg
Mama Mzazi wa Idris Sultan akijiandaa kumpokea mwanae.

Hivi Ndivyo Alivyopokelewa Mshindi Wa Big Brother Africa 2014 Hivi Ndivyo Alivyopokelewa Mshindi Wa Big Brother Africa 2014 Reviewed by habari motto on 12:14 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.