LULU ATOA SOMA LA FASHION NA STYLE

Mbali na mambo yote, hakuna anebisha kuwa muigizaji Elizabeth Michel “Lulu” ni mrembo na mara zote hakosei katika mitoko yake hasa linapokuja swala maswala ya mitindo katika uvaaji na muonekano kwa ujumla. Nadhani kwa hilo hakuna ubishi kuwa Lulu yuko vizuri.
JANA kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram Lulu ameamua kutoa elimu kidogo kuhusu kutofautisha kati ya Fashion na Style
Aliandika;
"Jua Kutofautisha Kati Ya FASHION Na STYLE... Fashion z wat we buy,n STYLE z how you wear it...!
#SundayVibe"

Kisha akatupia picha hizo….wewe unaonaje??
LULU ATOA SOMA LA FASHION NA STYLE LULU ATOA SOMA LA FASHION NA STYLE Reviewed by habari motto on 9:22 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.