Ray C Ajitolea Kumsaidia Daz Baba Kuacha Madawa ya Kulevya, Daz Baba Mwenyewe Asema Hatumii Unga


Habari Motto Blog: Mwanamuzi Mkongwe wa Bongo Flava Ray C a.k.a Kiuno Bila Mfupa Amejitokeza na Kusema Yupo Tayari kuanza Kumsaidia Mwanamuziki Daz Baba Anayesemekana
Kuadhiriwa na Madawa ya Kulevya Kiasi cha Kudhoofika Mwili ...

Japo Ray C amesema hayo ila Mwanamuziki Daz Baba Siku si nyingi alihojiwa na Radio moja Maarufu Bongo na Kusema yeye hatumiii Madawa ya Kulevya Hata Kidogo Bali Hupenda tu Kukaa Vijiweni na masela wanaotumia Madawa ila yeye hatumiii....
Ray C Ajitolea Kumsaidia Daz Baba Kuacha Madawa ya Kulevya, Daz Baba Mwenyewe Asema Hatumii Unga Ray C Ajitolea Kumsaidia Daz Baba Kuacha Madawa ya Kulevya, Daz Baba Mwenyewe Asema Hatumii Unga Reviewed by habari motto on 10:39 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.