Zijue Sababu Kuu Za OMMY DIMPOZ Kutomtambulisha mpenzi Wake

'Sijapenda kuweka wazi sana swala la mahusiano kwasababu inatakiwa mimi niweze kuwa na uhakika kwamba huyu ambaye namtambulisha kwa wananchi ni kweli wakati umefika, kwasababu leo unaweza ukawatambulisha huyu baada ya siku tatu mambo hayaeleweki ukatambulisha mwingine, kwahiyo mwisho wa siku utaonekana kijana unatumia nafasi yako kuweza kuchezea watoto wa kike, kwahiyo najaribu kuwa makini kwa hilo lakini kipindi kitakapofika watu wataweza kufahamu kama Ommy ‘bae’ wake ni yupi' alimaliza
Zijue Sababu Kuu Za OMMY DIMPOZ Kutomtambulisha mpenzi Wake Zijue Sababu Kuu Za OMMY DIMPOZ  Kutomtambulisha mpenzi Wake Reviewed by habari motto on 6:49 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.